Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wakikupm bby nipe password yako niende nao sawa.
 


Steve Nyerere kawakataza. Yeye ndiyo kiongozi wa makuwadi hapa Tanzania, kama mademu hawataki kumtumia wanasuswa na jamii.
 
Hapo sipakumbuki vzur ila nakumbuka dogo alikua amevimba mbaya, akatolewa nnje na wahuni wake na wheelchair kaenda kuvuta sigara nnje anakutana na hank nae analetea hospital

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo hapo hapo alipotolewa nje akakutana na ambulance inamleta hank. Sasa kuna muuguzi mmoja alikuja kumwambia "sorry sir you can't smoke here" Pinkman na ule msauti wake wa kukwaruza alimjibu "So roll me further b.itch".

Hua nacheka sana nikiikumbuka ile part

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahhah pinkman kacheza kihuni sana ile season, ameliyumia sana neno biiiiiitch

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah unatuonea bure dada angu. Mfano kama mimi simu yangu imekataa kabisa kuonesha notifiction za jf.

Nilishafuta app na kuinstall tena ila wapi...


Sasa katika mazingira kama hayo nikimtumia mtu PM akinijibu sitojua. Mpaka nije niingie tena Jf ndio nitaona...
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Doh...

We nawe unafanya maisha yetu yawe magumu dada angu...
 
Aiseee nilidhani hili tatizo ninalo peke yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…