Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Waambie hao. Mtu hamjawahi hata kuquotiana anakuja PM. Unapausha tu. Anaandika mpaka anaanza kutukana
watu bhana! unapata wapi ujasiri wa kutuma message at least basi muwe mshaanza conversation kwenye uzi story zikianza private ndio muende huko pm.Ila mtu unajipeleka tu kichwa kichwa so pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Nakusalimia kwanza, then dhumuni litakuja baada ya wewe ku-respond positively. Nikiona hata salamu imekuwa shida kujibu, nageuka nyuma na kurudi nilipokuwa[emoji39]
 
Back
Top Bottom