Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa hauna shida Eli.Nakusalimia kwanza, then dhumuni litakuja baada ya wewe ku-respond positively. Nikiona hata salamu imekuwa shida kujibu, nageuka nyuma na kurudi nilipokuwa[emoji39]
Naomba nije PM khantweHilo ni tatizo sugu kwa app yetu hii hata mimi ninalo lakini PM za watu naziona, ninyi mnashindwaje kuziona??? Halafu kwa nini uanzishe conversation wakati unajua uko bize? Mimi nikijua nimeanzisha convo na mtu huwa siachi kuchungulia nione kama amejibu sijajua inakuwaje mtu unapotea kwa siku kadhaa. Wakati mwingine nakuona kwenye thread unakomenti kama kawaida...
Sent using Jamii Forums mobile app