Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Screenshot_20200324-150041.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakusalimia kwanza, then dhumuni litakuja baada ya wewe ku-respond positively. Nikiona hata salamu imekuwa shida kujibu, nageuka nyuma na kurudi nilipokuwa[emoji39]
Utakuwa hauna shida Eli.
Weka salamu yako na lengo lako pamoja. Ila wewe salamu tuu nitajibu.
 
Hilo ni tatizo sugu kwa app yetu hii hata mimi ninalo lakini PM za watu naziona, ninyi mnashindwaje kuziona??? Halafu kwa nini uanzishe conversation wakati unajua uko bize? Mimi nikijua nimeanzisha convo na mtu huwa siachi kuchungulia nione kama amejibu sijajua inakuwaje mtu unapotea kwa siku kadhaa. Wakati mwingine nakuona kwenye thread unakomenti kama kawaida...

Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba nije PM khantwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom