Hahhah pinkman kacheza kihuni sana ile season, ameliyumia sana neno biiiiiitch
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo ni tatizo sugu kwa app yetu hii hata mimi ninalo lakini PM za watu naziona, ninyi mnashindwaje kuziona??? Halafu kwa nini uanzishe conversation wakati unajua uko bize? Mimi nikijua nimeanzisha convo na mtu huwa siachi kuchungulia nione kama amejibu sijajua inakuwaje mtu unapotea kwa siku kadhaa. Wakati mwingine nakuona kwenye thread unakomenti kama kawaida...Dah unatuonea bure dada angu. Mfano kama mimi simu yangu imekataa kabisa kuonesha notifiction za jf.
Nilishafuta app na kuinstall tena ila wapi...
Sasa katika mazingira kama hayo nikimtumia mtu PM akinijibu sitojua. Mpaka nije niingie tena Jf ndio nitaona...
Weee mbona pm yangu hujibu ??Hilo ni tatizo sugu kwa app yetu hii hata mimi ninalo lakini PM za watu naziona, ninyi mnashindwaje kuziona??? Halafu kwa nini uanzishe conversation wakati unajua uko bize? Mimi nikijua nimeanzisha convo na mtu huwa siachi kuchungulia nione kama amejibu sijajua inakuwaje mtu unapotea kwa siku kadhaa. Wakati mwingine nakuona kwenye thread unakomenti kama kawaida...
Sent using Jamii Forums mobile app
Notification za jf sio realtime mpaka urefresh, messages zinaingia vzuri tuuHilo ni tatizo sugu kwa app yetu hii hata mimi ninalo lakini PM za watu naziona, ninyi mnashindwaje kuziona??? Halafu kwa nini uanzishe conversation wakati unajua uko bize? Mimi nikijua nimeanzisha convo na mtu huwa siachi kuchungulia nione kama amejibu sijajua inakuwaje mtu unapotea kwa siku kadhaa. Wakati mwingine nakuona kwenye thread unakomenti kama kawaida...
Sent using Jamii Forums mobile app
Naanzaje kutojibu PM yako etiWeee mbona pm yangu hujibu ??
Ntaanza kufunga
Unaongea nini sasaNotification za jf sio realtime mpaka urefresh, messages zinaingia vzuri tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Namie nashangaa, inakuaje Khantwe hanijibu ??
Ila ukianzisha wewe convo mimi nisipojibu kutokana na hili tatizo la notification unatakiwa kuelewa. Huwenda nakuwa sijaona kweli maana nakua sijapay attention huko....lakini inakuwaje convo unaanzisha mwenyewe halafu haupay attention eti unasingizia tatizo la notification?? Ulipokuwa unaanzisha mazungumzo hukujua una tatizo la notification???Namie nashangaa, inakuaje Khantwe hanijibu ??
Haaaaaa Attention ipo sana tu, hujui tu navyochungulia Mara kwa Mara nione kilichopo...Ila ukianzisha wewe convo mimi nisipojibu kutokana na hili tatizo la notification unatakiwa kuelewa. Huwenda nakuwa sijaona kweli maana nakua sijapay attention huko....lakini inakuwaje convo unaanzisha mwenyewe halafu haupay attention eti unasingizia tatizo la notification?? Ulipokuwa unaanzisha mazungumzo hukujua una tatizo la notification???
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha siongelei kwako tu naongea generallyHaaaaaa Attention ipo sana tu, hujui tu navyochungulia Mara kwa Mara nione kilichopo...
Nakuta kimyaaa
Aahhh sawa, yawezekana hutoi ushirikiano
Tusiandikie mate hahaha..maana unaweza ukawa unajiteteaa wewe
Ni kweli, naweza naweza nisitoe ushirikiano kwenye mengine ila sio kwenye kujibu messageTusiandikie mate hahaha..maana unaweza ukawa unajiteteaa wewe