Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Hii Crisis inahusiana na nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni story ya jamaa mmoja aliewahi kua mfanyakazi wa CIA alitaka watoto wa vigogo wa marekani halafu akawa anawapa kazi kila mzazi, ili mzazi umpate mwanao unapewa kazi ukiifanya unampata, usipofanikisha mtoto anauliza, fbi walihangaika sana na huyo mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
its true wanawake wengi wa ki Tanzania huwa hawajiamini mdio maana utakuta mtu unajaribu kumuambia kwamba inakuwaje mdada anakuona kama ni shetani na kujibu majibu ya mkato na huku ni kitu ambacho ni normal na kutongozwa . au mtu anakimbilia kusema mimi tayari nimeolewa...mfano kuna binti mmoja tulikutana naye katika harakati za hapa na pale ikatokea kanipa namba zake so nikachat naye kujenga mazoea fulani baada ya hapo nikatupa nanga akasema yeye tayari ni mke wa mtu basi nikatulia nikamuomba samahani.Basi nimekaa siku kama tatu ananiuliza mbona uko kimya na hiyo massage anaituma mida kama ya saa sita na nusu mimi nikashngaaa kujiuliza inakuwaje mtu ana mume halafu saa sita anatuma ujumbe nika kausha . Kesho yake asubuhi saa kumi na mbili anapiga simu analalamika anasema kwanini sikumjibu text yake nikamwambia siwezi kufany amazoea na mke wa mtu maana si tabia nzuri.Jioni inafika anasema kanimiss ikabid nikamzie nikamwambia sitaki mazoea akanuna siku ya tatu akafufuka kama yesu anasema alikuwa ananitania yeye hajaolewa ikabid nimchne kwamba yaani hata kama hujaolewa siezi kuwa na mwanamke mpuuzi kama wewe unayejisingizia koulewa badala ya kuwa mtu mzima na kudeal na situation kama mwanamke ....moral of the story ni kwamba hawajiamini na maamuzi yao
 
Aiseee! Ikawaje? Haukupiga kabisa ukampotezea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee! Ikawaje? Haukupiga kabisa ukampotezea?

Sent using Jamii Forums mobile app
daah hapana kaka sikupiga maana hapo tayari nilimuona hana akili sasa siwezi kukaana na mtu wa hivo na nilikua nishaanza kumuelwa pili anaweza kukuambia nilikuwa nakudanganya kumbe kweli kaolew nikaja kutolewa kishipa cha kilo nne bor upige sehemu ambayo unaona ni mtu anayejielewa
 
Kweli uliamua kumpotezea kabisa, wazungu mi nawakubali sana, hawana longolongo, kama ni yes ni yes kama ni no ni NO hamna mambo ya kupotezeana mda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani umekua twisted kidogo na wewe umeingia kingi, hana akili how? Yani kusema alidanganya kua kaolewa ni kipimo cha wewe kumuona hana akili, labda hukumpenda mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…