Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Kuna muda ukiwa unatafuta sababu ya kuacha ku mtext mtu inabipi viwepo ili ikitokea umem text kama mara tatu au nne na hajajibu hata moja ila blue ticks zipo unaacha kum text for good.
Inauma sana hiyo
 
Yani umekua twisted kidogo na wewe umeingia kingi, hana akili how? Yani kusema alidanganya kua kaolewa ni kipimo cha wewe kumuona hana akili, labda hukumpenda mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu ni kukosa akili kwanini umeseme umeolewa na huku hujaolewa kanini usiwe mkweli kusema sitaki mahusiano mtu unaelewa worst anakuja kusema nilikuwa nakutania mkuu wewe unaona huyo mtu yuko sawa??
 
ulikua hujampenda tuu
kumpenda mtu unaweza kumpenda lakini ukiona hajielewi inabidi ukocontrol na hakuna mwanmke ambaye mwanaume anamuheshimu kama yule amabaye yuko on point na mwenye msimamo sasa hizi longo longo za kitoto na huku ni mama mtu mzima ni upuuzi kama alikuwa hataki mahusiano anasema mimi sitaki...halafu pia anakuweka kwenye mashaka je kama kaolewa kweli inakuwaje ...sometimes tuwe tunatumia akili
 
Lakini sio level za prison break au unasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
PB ni nzuri kwa nyakati zake, theme ya PB na Money heist ni tofauti. PB inahusisha visa vingi na vyote vilikuwa engineered na kutoroka gerezani, money heist inahusu mkakati wa kuiba pesa.

Sasa hizo ni muvi mbili tofauti na kila moja inavionjo vyake, nakushauri uangalie na money heist iko safi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poa mkuu
 
hapana mkuu ni kukosa akili kwanini umeseme umeolewa na huku hujaolewa kanini usiwe mkweli kusema sitaki mahusiano mtu unaelewa worst anakuja kusema nilikuwa nakutania mkuu wewe unaona huyo mtu yuko sawa??
Wote tunadanganya kwa nyakati tofauti, point ni kuwa motive ya kudanganya ni ipi? Na je uliigundua hiyo motive ina athari kwako? Mambo mengine unapotezea tu.

Sasa hata kama alidanganya mwanzoni lakini baadae akakanusha we hukuona umuhimu wa kumpa nafasi ingine? Au wewe hitimisho lako lilikua kumpiga chini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawa hatuonani ila michango yetu kwa kiasi fulani inaonesha personality zetu na ndio inachangia mtu kujibu vipi au kutojibu PM yako. Wengi ukiwatumia PM kama hajawahi kuona michango yako kabla ya kujibu atapitia threads au comments zako kwanza ndio ataamua akujibu vipi au asikujibu.

Hata maisha ya huku mtaani ukimsalimia jinsia ingine atakujibu au kuonesha interest kulingana na personality yako.
 
ID za hapa hazireflect maisha halis ya mtumiaji, we're behind the keyboard bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…