Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ingawa hatuonani ila michango yetu kwa kiasi fulani inaonesha personality zetu na ndio inachangia mtu kujibu vipi au kutojibu PM yako. Wengi ukiwatumia PM kama hajawahi kuona michango yako kabla ya kujibu atapitia threads au comments zako kwanza ndio ataamua akujibu vipi au asikujibu.
Hata maisha ya huku mtaani ukimsalimia jinsia ingine atakujibu au kuonesha interest kulingana na personality yako.
HakikaLABDA kwa vile wewe unafeki. Btw sijazungunzia maisha halisi whatever that is, nimezungumzia personality ambayo ni ngumu sana kuificha.
Hujajibu swali.Wajibu waache kuringa, kubali wito kataa maneno
Kasema nani? Kwa minajili gani?Ni lazima kuitikia wito
Na bado hujayajibu.Mkuu una maswali kupingukia
Duh! Hata madem wa tanga ndio zso! Ila sasa hiv ni wote tuu haiangalii kabila
Sent using Jamii Forums mobile app