Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ingawa hatuonani ila michango yetu kwa kiasi fulani inaonesha personality zetu na ndio inachangia mtu kujibu vipi au kutojibu PM yako. Wengi ukiwatumia PM kama hajawahi kuona michango yako kabla ya kujibu atapitia threads au comments zako kwanza ndio ataamua akujibu vipi au asikujibu.
Hata maisha ya huku mtaani ukimsalimia jinsia ingine atakujibu au kuonesha interest kulingana na personality yako.
HakikaLABDA kwa vile wewe unafeki. Btw sijazungunzia maisha halisi whatever that is, nimezungumzia personality ambayo ni ngumu sana kuificha.
Sent using Jamii Forums mobile app