Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Umechanganya madawa hapa mdogo. [emoji23][emoji23][emoji23]

Nimetoka kapa kuelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuelezea wakati mwingine Ni shida.

Nilikuwa nachangia comment ya Paula pale juu aliyosema kwamba mtu alimtafuta aende moja kwa moja Kwenye mada.

Mimi nikasema kwamba Ni vema kumjulia mtu Hali kwanza na kumpa nafasi ya kujibu ili usikie kutoka kwake Hali yake, kuliko Kwenda moja kwa moja kumueleza mtu shida zako Bila hata kusikia kutoka kwake kuhusu Hali yake
Nikasema, unaweza kuanza kumuelezea mtu shida zako kumbe kwa muda huo labda anaumwa,au Yuko bize au ana matatizo..muitikio wake hautakuwa mzuri.
Kwa Hiyo Ni Bora kujuliana Hali kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haha
Kuna ID ya mwaka 2015 inaniPM ukiicheck haina msg wala reaction score (mtu wa dizain hii napotezea

Mwingine ye kila siku anaanzisha conversation mpya na kila convo ni salamu kisha anapotea hadi siku nyingine anakuj na convo mpya tena
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nielezee na mimi, nafeli vipi??
Kuna sehemu ulishafeli hivi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwe unaanza na salamu..usianze tu kumchekea mtu bila salamu.

Mtu ambaye unaweza kwenda tu na kuanza kutiririka Ni yule umechat naye jukwaani kwa muda huo..kwa hiyo pm unaenda kuendelezea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mleta uzi ndio aelewe hasaa mana mpaka watu hawamjibu hivyo ni dhahiri hana cha mana kinachompeleka huko.
Me nashindwaga kuelewa kabisa kabisaaa
Hivi kwa Mazingira haya ya anonymity JF mtu anapata wapi cha maana cha kuja nacho PM ???
Hajui unapokaa,
Hajui kazi yako
Tena kwnye Mada za biashara haupo
Hajui Anything kuhusu Wewe
Hiko cha Maana anakitoa wapi ili aje nacho ??

Tuelewane Hapa msiseme cha Maana semeni SWAGGER
Yeah Aje Swagger Kali
Hakuna cha Maana cha kumleta mtu PM hapa JF regardless mamb ya biashara
 
Shauri yako mkuu.

Mazingira haya haya kuna watu wamepata kazi humu, kuna watu wameoa na kuolewa humu humu, kuna watu wamepata mtoto/watoto humu.

Jidanganyeni tu
 

Nimecheka sana. Itakuwa uliogopa sana mtoto mzuri.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…