Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Salaam

YAH: KUKUTUMIA UJUMBE HUU KUKUTAKA UWE RAFIKIYANGU

husika na kichwa cha habari hapo juu, nimekua nikiona michango yako katika jukwaa n nikavutiwa sawa kukufahamu, nadhani ombi langu likikubaliwa nitajihisi mwenye bahati sana.

Uwe na siku njema Mrembo.


Wako
Pompeo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mkuu unaniandikia hapa?
Nadhani ndiyo maana hukujibiwa pm..utakuwa hauko serious.
Hakuna dada atakaa ajibu pm ya mizaha,jaribu urudi uangalie unapokosea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dude, It's a brotherly prayer you don't get into any relationship with these slay queens. Niko na donda kumoyo but wanna revenge! I made a promise, got to fulfill it. Time kama hii no singizi cause yake. Totally bankrupt, please please don't ever give it a try. Hizi mutu ni shetwain.

Go to ma profile find a thread nirianzisha narrated vile hawara kanitia gizani. She is here, I am sure waume wengi muko mmemkula. She pretends to be smart upstairs .....me crying here oogh. Thank me later. Ako amelalwa na wanaume wengi umu

Don't make a promise you can't fulfill...
Chiiiii
 
Ndiyoo
Unaweza kuanza kujieleza kwa mtu kumbe muda huo amebanwa na kazi au Ana hasira.
Lazima response yake haitakuwa nzuri.
Ni Bora kumuuliza kwanza,mtu aljyetingwa atakuambia nitafute baadaye ili tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umechanganya madawa hapa mdogo. 😂😂😂

Nimetoka kapa kuelewa.
 
Kuna watu kila siku anakuja na convo mpya.
Watu Kama Hawa nawachukulia Kama wahuni..Mimi ukinianzishia tu convo mpya Basi Imani inapungua,kwanini uanzishe mpya?na Kama mtu alikuwa na mpango wa kunitongoza Basi anisahau.

Hizi I'd za miaka ya nyuma Mimi Nina Imani kabisa kabisa kuwa ni mafyekero,mtu anakuja tu kukuchora.
Haiwezekana I'd ya mwaka 2013 Ina message 20,30 au 40..eti inakuja pm na anakuja anakuambia anapenda michango yako jukwaani wakati hata jukwaani hujawahi kumuona.
Mimi swali la kwanza huwa nauliza I'd yake anayotumia jukwaani Ni ipi?akikataa kabisa kunijibu Basi na Mimi siendelei

Kuna zile I'd jamani zinakuja pm..jina la I'd kituko.Avatar kituko..walahi sihangaiki hata kujibu.

Kuna namna pia mtu anakuja pm..mwingine anaanza tu na mizaha

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ndio maana hujibu pm zangu tatizo ni jina langu!! Poa tu bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom