Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Sikuiona mda ule, ilikawia kidogo!Ukasinzia saa moja ile? Ila naona bado umesinzia 😀😀
Mhh unataka kunisingizia tu, Niko available maana pa kunipata unapajua 😎
Hebu ngoja kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikuiona mda ule, ilikawia kidogo!Ukasinzia saa moja ile? Ila naona bado umesinzia 😀😀
Mhh unataka kunisingizia tu, Niko available maana pa kunipata unapajua 😎
Sasa mkuu unaniandikia hapa?Salaam
YAH: KUKUTUMIA UJUMBE HUU KUKUTAKA UWE RAFIKIYANGU
husika na kichwa cha habari hapo juu, nimekua nikiona michango yako katika jukwaa n nikavutiwa sawa kukufahamu, nadhani ombi langu likikubaliwa nitajihisi mwenye bahati sana.
Uwe na siku njema Mrembo.
Wako
Pompeo
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhNilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi pia niko poa
Tushamaliza kipengele cha kujuliana hali sasa naomba niende kwenye point[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora uwaambie. 😂Pm kwa mtu mwenye id fake na hana picha! Iko siku utakumbana na jini huko pm
ChiiiiiDude, It's a brotherly prayer you don't get into any relationship with these slay queens. Niko na donda kumoyo but wanna revenge! I made a promise, got to fulfill it. Time kama hii no singizi cause yake. Totally bankrupt, please please don't ever give it a try. Hizi mutu ni shetwain.
Go to ma profile find a thread nirianzisha narrated vile hawara kanitia gizani. She is here, I am sure waume wengi muko mmemkula. She pretends to be smart upstairs .....me crying here oogh. Thank me later. Ako amelalwa na wanaume wengi umu
Don't make a promise you can't fulfill...
Ujinga Ujinga tuHuenda ikawa ndio huyo huyo aliyekuwa akituma na kwangu. Sa sijui anapata raha gani mana si uzima ule.
Umechanganya madawa hapa mdogo. 😂😂😂Ndiyoo
Unaweza kuanza kujieleza kwa mtu kumbe muda huo amebanwa na kazi au Ana hasira.
Lazima response yake haitakuwa nzuri.
Ni Bora kumuuliza kwanza,mtu aljyetingwa atakuambia nitafute baadaye ili tuongee vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli.
Ujinga Ujinga tu
Umenionaje mkuuNdio maana Uko kama Una run maddness hivi Unafungua thread Nyiiingi Aisee
.
Sikwambiii pole maana tunafanana.. utapata tuu wa kukufariji usiwaze kaka
Hebu msitiri mwenzako hukoooSasa mkuu unaniandikia hapa?
Nadhani ndiyo maana hukujibiwa pm..utakuwa hauko serious.
Hakuna dada atakaa ajibu pm ya mizaha,jaribu urudi uangalie unapokosea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uje straight babe..so unajua vile sipendagi milolongo eeh
Na mleta uzi ndio aelewe hasaa mana mpaka watu hawamjibu hivyo ni dhahiri hana cha mana kinachompeleka huko.Somo limeeleweka mtani.
Uje straight babe..so unajua vile sipendagi milolongo eeh
Kumbe ndio maana hujibu pm zangu tatizo ni jina langu!! Poa tu bwanaKuna watu kila siku anakuja na convo mpya.
Watu Kama Hawa nawachukulia Kama wahuni..Mimi ukinianzishia tu convo mpya Basi Imani inapungua,kwanini uanzishe mpya?na Kama mtu alikuwa na mpango wa kunitongoza Basi anisahau.
Hizi I'd za miaka ya nyuma Mimi Nina Imani kabisa kabisa kuwa ni mafyekero,mtu anakuja tu kukuchora.
Haiwezekana I'd ya mwaka 2013 Ina message 20,30 au 40..eti inakuja pm na anakuja anakuambia anapenda michango yako jukwaani wakati hata jukwaani hujawahi kumuona.
Mimi swali la kwanza huwa nauliza I'd yake anayotumia jukwaani Ni ipi?akikataa kabisa kunijibu Basi na Mimi siendelei
Kuna zile I'd jamani zinakuja pm..jina la I'd kituko.Avatar kituko..walahi sihangaiki hata kujibu.
Kuna namna pia mtu anakuja pm..mwingine anaanza tu na mizaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Weee!! Mi sijibugi PM hivyo wala usihangaike mana nitaongeza Idadi ya ambao hawatakujibu.