Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Hizi za Kwenda moja kwa moja Kwenye mada sio nzuri Sana.
Unakuta mtu anakupm kaandika"kwa Jina la mapenzi karibu moyoni"
Hiyo Ni text yake ya kwanza juu kabisa.

Ni vema mtu anapikupm akaanza na salamu na kukujulia Hali kwanza.
Hii inatoa nafasi ya kujua Khali ya mtu anayewasiliana Naye,mf kujua Kama Ni mzima,mgonjwa, Kuna shida anapitia au Yuko bize .

Kuanza tu kujieleza moja kwa moja kwa mtu,unaweza jieleza kumbe Ana Shida au anaumwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Me hata kama naumwa mtu akiniambia "mambo siwezi jibu mabaya.
 
Hii comment imenifanya nicheke.
Asante kwa kuleta cheko usoni kwangu.

Hata mimi napenda mtu anayeenda moja kwa moja kwenye point. Namaanisha msg yake ya kwanza iwe na salamu na dhumuni la kunitafuta.
Sasa nkikwambia Mambo Paula naomba nikugegede huoni ntakuwa nimejiaribia...
 
Naomba nianze kwa kukujulia hali
Hizi za Kwenda moja kwa moja Kwenye mada sio nzuri Sana.
Unakuta mtu anakupm kaandika"kwa Jina la mapenzi karibu moyoni"
Hiyo Ni text yake ya kwanza juu kabisa.

Ni vema mtu anapikupm akaanza na salamu na kukujulia Hali kwanza.
Hii inatoa nafasi ya kujua Khali ya mtu anayewasiliana Naye,mf kujua Kama Ni mzima,mgonjwa, Kuna shida anapitia au Yuko bize .

Kuanza tu kujieleza moja kwa moja kwa mtu,unaweza jieleza kumbe Ana Shida au anaumwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanasababisha mtu uhisi labda ni ID fulani kongwe/famous tu imekuja kunichora [emoji3][emoji3] kuna mmoja nikamwambia nimezichoka salamu zako nenda straight to the point kwani alirudi tena
Kuna watu kila siku anakuja na convo mpya.
Watu Kama Hawa nawachukulia Kama wahuni..Mimi ukinianzishia tu convo mpya Basi Imani inapungua,kwanini uanzishe mpya?na Kama mtu alikuwa na mpango wa kunitongoza Basi anisahau.

Hizi I'd za miaka ya nyuma Mimi Nina Imani kabisa kabisa kuwa ni mafyekero,mtu anakuja tu kukuchora.
Haiwezekana I'd ya mwaka 2013 Ina message 20,30 au 40..eti inakuja pm na anakuja anakuambia anapenda michango yako jukwaani wakati hata jukwaani hujawahi kumuona.
Mimi swali la kwanza huwa nauliza I'd yake anayotumia jukwaani Ni ipi?akikataa kabisa kunijibu Basi na Mimi siendelei

Kuna zile I'd jamani zinakuja pm..jina la I'd kituko.Avatar kituko..walahi sihangaiki hata kujibu.

Kuna namna pia mtu anakuja pm..mwingine anaanza tu na mizaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me hata kama naumwa mtu akiniambia "mambo siwezi jibu mabaya.
Mimi Nina tabia ya kumsabahi kwanza mtu.
Atakaponijibu ndipo nitaeleza dhumuni langu.
Siwezi Anza tu kutiririka huku hata sijampa nafasi ya kunijibu kuhusu Hali yake.
Kama atanidanganya,Ni sawa tu lakini kikubwa nisikie kutoka kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo duh, ndo muwe mnajibu PM zetu.
Kina Id moja hivi siikumbukagi mana ilikuwepo zamani kidogo yaani ile kila baada ya siku mbili au tatu atatuma kauli za matusi yaani nikawa naishangaa tu sa unadhani mtu ka huyo nani atapoteza muda kumjibu?

Wakitaka Pm zao zijibiwe wawe na heshima pia sababu za msingi za kwenda huko Pm.

Waachage kugeuza PM kuwa ni kijiwe cha kuambiana mambo mambo, sijui tuonane tuonane yaani kila kukipambazuka hiyo ndio kauli. 😅😅😅😅
 
Kina Id moja hivi siikumbukagi mana ilikuwepo zamani kidogo yaani ile kila baada ya siku mbili au tatu atatuma kauli za matusi yaani nikawa naishangaa tu sa unadhani mtu ka huyo nani atapoteza muda kumjibu?

Wakitaka Pm zao zijibiwe wawe na sababu za msingi za kwenda huko Pm.

Waachege kugeuza PM kuwa ni kijiwe cha kuambiana mambo mambo, sijui tuonane tuonane. 😅😅😅😅
Hahaha iliwahi kunipata pis,
yaani alikua anatuma matusi ya nguoni..kila akikurupuka
 
Back
Top Bottom