Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Me hata kama naumwa mtu akiniambia "mambo siwezi jibu mabaya.Hizi za Kwenda moja kwa moja Kwenye mada sio nzuri Sana.
Unakuta mtu anakupm kaandika"kwa Jina la mapenzi karibu moyoni"
Hiyo Ni text yake ya kwanza juu kabisa.
Ni vema mtu anapikupm akaanza na salamu na kukujulia Hali kwanza.
Hii inatoa nafasi ya kujua Khali ya mtu anayewasiliana Naye,mf kujua Kama Ni mzima,mgonjwa, Kuna shida anapitia au Yuko bize .
Kuanza tu kujieleza moja kwa moja kwa mtu,unaweza jieleza kumbe Ana Shida au anaumwa.
Sent using Jamii Forums mobile app