Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,992
- 22,396
Kwamba????Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye
Sent using Jamii Forums mobile app