Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Wanawake wa JF mbona hamjibu Private messages?

Mfano wewe nikisoma comment zako napata picha flani ya binti anaejitambua, ila hatabiriki sometimes yes sometimes no!!

Kuna uzi siukumbuki jina niliwahi kuku-mention kwa namna nilivyopenda ulivyo reply. Kile ulichoreply hadi leo nakikumbuka uliandika hivi; "Tafuteni kua na amani na watu wote" hii ni quotation toka kwenye bible sikumbuki mwandishi.

Unaukumbuka huo uzi?

Hahaha unasema kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuhh Mkuu unaonekana wanakuPM sana
Nilikuwa nashangaa inakuwaje mtu anatumiwa message hajibu? Nikagundua huku kuna mataahira huwa wanatuma meseji kwa kujaribu au sijui nisemeje? Jitu linakupm leo 'mambo'? Unalijibu hapo hapo 'poa vipi'? Halijibu linapotea. Sasa hivi nikiona mtu simuelewi amenipm nafuta na ku-unfollow wala sihangaiki naye

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja namm nitakuPM
 
Chunguza vizuri, halafu hapo nilipoandika 402 ilikua mfano tu siku maanisha comment za uzi huu ziko 402.

Hata wewe kuna post nimeona id yako tu sehemu ya comment haipo, mleta mada nae hivyo hivyo anaonekana kapost lakini ujumbe huoni unaona avatar tu.
Mmh mbona kwangu zipo 600+

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom