Yule nahisi ni hr alishanisababishiaga life ban nikaomba mods wakanirudisha leo sakayo kanipigia sana kelele nitoke kabisa nahisi angenipa life ban nyingineNiko hapa nasubiri,sijui ni katoto ka chuo khaa
Heee kumbe shunie ni mod!Ushamsema kwa mods wenzio sio?
Pesa kwanzaKwahiyo sasa niko na tabia gani jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ewaaaaa huyo ni billnas wangu
Uje jamani kaka akee tunawamiss mnooooMdogo mdogo mie nitakuwa nakuja dada.
Kwa kuwa mi mwenyewe kapuku patanifaaUkija hautatamani kutoka karibu sana ndio kiwanja chetu cha nyumbani
Jamani nimefurahi kukuona hearlykwakweli "" hata mimi pia mkuu""
Ndio shemHeee kumbe shunie ni mod!
Hakana adabu kabisa,siku moja kalinikera nilikasirika kweliJamani eti dogstyle woiiii labda alinikula ndotoni jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umefutwa mwenyewe nilikuwa sijui kurlzawa ndio kaja kuniambia hukuNgoja nitamcheck Max nitaona
Hahahhah achana nae huyo kaka anguHeee kumbe shunie ni mod!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nipe basiPesa kwanza
Mmm kwenye uzi gani?Yule nahisi ni hr alishanisababishiaga life ban nikaomba mods wakanirudisha leo sakayo kanipigia sana kelele nitoke kabisa nahisi angenipa life ban nyingine
Hapana dada, wakati tunaanza wote hamkuwepo kabisa hahahaaaa.....Khaaaaa mtake radhi sakayo wangu halafu huyo ndio aliniletaga makapuku
Hahhaha kaka angu jamani umefurahi mnooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahhaha ukuje jamaniKwa kuwa mi mwenyewe kapuku patanifaa
hahaa asante "" Uzi wa kupeana likes ..jukwaa La siasa..na JI ndio vinanificha sanaJamani nimefurahi kukuona hearly
Bichwa lako [emoji3][emoji3][emoji3]Ndio shem
UmefutwaMmm kwenye uzi gani?
AiseeeSiwakumbuki kiivyo dada, ila hata wewe pia ulikuwa ni mpya.