Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Wanawake wa JF mbona huwa mnafunga PM zenu?

Lakini unajua demi kutongoza kuna style nyingi, wengine wataanza na maneno matamu, wengine watajifunza tabia zako na vitu unavyovipenda na watatambilizia mlemleee! Yaani hata kama ni mlokole watu watakuja na maneno na matendo yenye upako, ukiwa msela watakujia ki gangster, ukiwa mpole hivyohivyo.

Wengine kwenye kutongozana wanaanza na ugomvi na kuzinguana sana mwisho wa siku mnashangaa wana date, kama Mahondaw na Smart911. Lakini wote hao hata wanaoanza kwa kuzinguana hufanya kiutu uzima na sio kitoto toto. Sio mtu siku ya kwanza anaomaba picha, namba ya simu n.k! haipo hivyo
Mmh. Si kwa uzoefu huu Sesten. Teh

Hivyo mnatuchoraga tu. [emoji12]
 
Mmh. Si kwa uzoefu huu Sesten. Teh

Hivyo mnatuchoraga tu. [emoji12]
Hajar unajua kiasili wanaume ndio tumeumbiwa kuwatongoza wanawake japo kuna uwezekano mwanamke pia akatongoza, maranyingi nyie ni wasikilizaji na wachambuzi tu wa mitongozo ya kila aina, sasa hilo lazima lifanyike kwa ufundina kwa thamani halisi ya mwanamke
 
Oooh. Sawa Sesten.
 
Ndio maana hata mama Getrude Mongela aliwahi kushauri serikali ianzishe vyuo vya kufundisha kutongoza. Japo alikua anatania lakini alikua anafikisha ujumbe kua chanzo kingine cha ubakaji ni vijana wa kiume siku hizi kutokujua kutongoza na kumlainisha mwanamke na badala yake wanatumia miguvu, hiyo ni aina mojawapo na madhara mengine ya udomo zege
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wew unataka ziachwe wazi ili iweje?fataki wewe nisikukute na bint yangu utakuwa halali yang
 
Back
Top Bottom