Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Mmh. Si kwa uzoefu huu Sesten. TehLakini unajua demi kutongoza kuna style nyingi, wengine wataanza na maneno matamu, wengine watajifunza tabia zako na vitu unavyovipenda na watatambilizia mlemleee! Yaani hata kama ni mlokole watu watakuja na maneno na matendo yenye upako, ukiwa msela watakujia ki gangster, ukiwa mpole hivyohivyo.
Wengine kwenye kutongozana wanaanza na ugomvi na kuzinguana sana mwisho wa siku mnashangaa wana date, kama Mahondaw na Smart911. Lakini wote hao hata wanaoanza kwa kuzinguana hufanya kiutu uzima na sio kitoto toto. Sio mtu siku ya kwanza anaomaba picha, namba ya simu n.k! haipo hivyo
Hivyo mnatuchoraga tu. [emoji12]