Ni yeye uhandishi tu ule na mathread yakeHata mi nilihisi atakuwa ni yeye huyo
Sawa kaka anguHahahahaaaa..... Dada achana nae, hutakiwi hata kujibu chochote juu ya post ile.
[emoji23][emoji23] kipindi hicho bado alikua hajakua mod ila sasa hivi ni mmoja wao...Kumbe ni mmoja kati yao walionipiga ban mbaya kabisa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntamcheck Max tutauona tu..
HahahaNakupenda mm [emoji8]
Ba mke asitake kunigombanisha kabisa jamani na weweKumbe ni mmoja kati yao walionipiga ban mbaya kabisa?
aaaaghhh"" huyo ...he he heeee ..ngoja niishie hapa tafadhali...na kuna wadada viwango kule sijui wanakunywa lotion kama ujiOooh huko kwenye likes nilindie mchumba angu Davet
[emoji23][emoji23]Oooh huko kwenye likes nilindie mchumba angu Davet
[emoji120][emoji120]Inshaalah!!
Ndio kiki zenyewe hizo zinatafutwa.Tunaita kiki kubumaHalafu sina mazoea nae kabisa yaani sikumbuki kama nilishawahi kuquotiana nae hata thread zake sichangiagi kabisa aiseee
NitafuteNdio nan tena
Huyo ndio kapotea mazimaNgoja nimwabie na braza Youngblood awe anakuja.
Hahahha ebu niacheAu ilikua ni siri?
hahaaa...[emoji23][emoji23]
Sawa ba mkwe wangu kweli balimi 5 zinanihusu jamaniJazba haitakiwi mama mkwe
Au na hii ilikua ni siri?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani basi natokaHahaha
Yaani umeniacha kule najua ushalala...
Penda wewe jamani
Usitoke my love, kama uko happy nafurahi saanaJamani dada basi acha nitoke tu
We nilindie tu hao wadada watajua wenyeweaaaaghhh"" huyo ...he he heeee ..ngoja niishie hapa tafadhali...na kuna wadada viwango kule sijui wanakunywa lotion kama uji