Mzima lakini dada wa mie!?Hahaha
Sawa bwana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kaka umefurahi kukuita mchumba[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aaaaghhh"" huyo ...he he heeee ..ngoja niishie hapa tafadhali...na kuna wadada viwango kule sijui wanakunywa lotion kama uji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndio kiki zenyewe hizo zinatafutwa.Tunaita kiki kubuma
Halafu kule kijani ndo huoni au?Jamani basi natoka
Hahahha uko na nn lakiniAu na hii ilikua ni siri?
Hujamuona jirani yangu akipita humu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MzimaMzima lakini dada wa mie!?
Kiasi chake niko happy dada halafu bada ya kuingia humu na kuchangamkaUsitoke my love, kama uko happy nafurahi saana
Kuna vitu uwe muwazi ata kwa rafiki zako bhana...Hahahha ebu niache
Uje SGD tusherehekeeSawa
Usitoke bwanaJamani basi natoka
Naona unataka kunichoma mkuu [emoji23]hahaaa...
Kheee sio sioni naona tu zinaingia jamani ebu ngoja nije mpaka kufatwa huku [emoji3][emoji3][emoji3]Halafu kule kijani ndo huoni au?
Woyooooooh!!Sawa ba mkwe wangu kweli balimi 5 zinanihusu jamani
Ba mkwe usimsikilize asikutisheDuh! Wale wa multiple ID's tujiangalie sana atatumaliza
hahaa sawa """ ngoja nikatie majungu kule ...maana huwenda watamuogopa na kuahamia..kwangu..na kwenda na ushahidi wa comment yako na i screenshot ili wajue kuwa Jamaa keshawahiwa....."" zamu yangu kutamba sasa"""We nilindie tu hao wadada watajua wenyewe
WoyooooKiasi chake niko happy dada halafu bada ya kuingia humu na kuchangamka