Kama nakuona ushakula cap lako upo mezani balimi zimekuzunguka kila upandeSi unajua ninavyovimbaga au umesahau?
punguza pressure sasa ...wewe mchezo wote niachie mie "" hawawezi fanikiwa kukutanisha vikojoleo Hawa...nawaharibia mwanzo mwisho ..kama ushuzi wa yusuph unavyoweza kutengua barazaAiseeeee ako anamtaka nani huyu nitampa talaka
Basi ba mkwe umepataHaizidi hata kidogo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nafurahi kupatwa kwa Balimi zako [emoji23]
Hahaha,leo nimechelewa ndio kwanza mboga ipo jikoni.Sio nimeanza jamani si ndio mida hii
Kwakweli dada nisiwe mnafiki sijamsamehe ukitaka nimsamehe nidanganye kwa Heineken nitamsamehe yaani sitamuulizaKo hujamsamehe jamanii
HahahaHahaha sababu ya personality au
Kwahiyo tusingeonana jf ingekuwaje etiSindio nakuambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama nakuona ushakula cap lako upo mezani balimi zimekuzunguka kila upande
Hapana boss ngoja niwe mpole sasa ila mimi nawakimbia....Umeshaanza sasa unanii wako boss
Mbn ombi dgo tu hilo kaomba mkuuMimi nilifunga ya kwangu kulingana na usumbufu wa (vivulana), yaani mtu anaingia halafu anaongea ujinga. Imagine mtu anakwambia naomba picha yako ukiwa mtupu!!!πππ
Mambo za kushare siwezi mie talaka inamuhusu acha niwachie wenginepunguza pressure sasa ...wewe mchezo wote niachie mie "" hawawezi fanikiwa kukutanisha vikojoleo Hawa...nawaharibia mwanzo mwisho ..kama ushuzi wa yusuph unavyoweza kutengua baraza
KhaaaaKwakweli dada nisiwe mnafiki sijamsamehe ukitaka nimsamehe nidanganye kwa Heineken nitamsamehe yaani sitamuuliza
Hahah!!punguza pressure sasa ...wewe mchezo wote niachie mie "" hawawezi fanikiwa kukutanisha vikojoleo Hawa...nawaharibia mwanzo mwisho ..kama ushuzi wa yusuph unavyoweza kutengua baraza
Kumbe ni msanii eenhUmeshaanza sasa unanii wako boss
Ningekuambia ata keshoKwahiyo tusingeonana jf ingekuwaje eti
Hapana jamani dada basi namsameheKhaaaa
Hivi mdogo wangu wewe ni wa kunitenda hivi lakini?!