Mayila Baba
Member
- May 21, 2016
- 93
- 60
Story yoyote inayoletwa na mwanamke humu ndani, utakuta anatoa mazingira ya maisha safi, kama anakula hotelini, beach fulani hivi za kifahari.
Kwanini utoe mfano wa maisha ambao unatenga jamii kubwa ya watanzania hawana. Jikubali tu bana hata kama ni mama ntilie au unauza karanga barabarani sie tutawapenda tu.
Kubali hali yako.