Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hahahahaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Hahahahaaaaa
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]Stori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi
Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
uko wapi nije nikuungishe Dinazarde[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Basi sawa ungesemaaaa
Mbona mi nauza samaki ,,pia ni housegirl[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanza hapa maeneo ya feri ,,karibuuko wapi nije nikuungishe Dinazarde[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
ahsante nikija Mwanza nitakutafuta siku 1Mwanza hapa maeneo ya feri ,,karibu
Karibuahsante nikija Mwanza nitakutafuta siku 1
kumbe walikua buguruni malapaStori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi
Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kumbe walikua buguruni malapa
Ahsante sanaKaribu
hoka sasa yaan tuna visa sana sie wadada ....we niite alaf nipe uhuru wa kuagiza chochote uone mbwembwe zangu alaf nifuate nyuma nyuma ukajionee maajabu saba ya dunia jinsi nnavyokula embe ngongo nkalale....hahahaha jmn wadada msinipigee[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohooo huo ukweli uliosema ujue, wadada wenzako sijui kama watakuelewanac
hoka sasa yaan tuna visa sana sie wadada ....we niite alaf nipe uhuru wa kuagiza chochote uone mbwembwe zangu alaf nifuate nyuma nyuma ukajionee maajabu saba ya dunia jinsi nnavyokula embe ngongo nkalale....hahahaha jmn wadada msinipigee
Uwiiiiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ohooo huo ukweli uliosema ujue, wadada wenzako sijui kama watakuelewa
Ukiwa mkweli unakuwa huru kuliko kuigizaUwiiiiii [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
walahyOhooo huo ukweli uliosema ujue, wadada wenzako sijui kama watakuelewa
kama hutanipendi coz of mazingira yangu ni ya local niache tu kuliko kuigiza kama naishi masaki wakat naamkia yombo kwa gudeUkiwa mkweli unakuwa huru kuliko kuigiza
Bora wewe unakuwa muwaziwalahy
kama hutanipendi coz of mazingira yangu ni ya local niache tu kuliko kuigiza kama naishi masaki wakat naamkia yombo kwa gude
Kwani Jf ni sehemu ya matangazo ya maisha ya mtu binafsi?wenye maisha mazuri siku zote hawajitangazi bali yanaonekana yenyewe...Kwa hiyo nyie mlitaka mtu akiandika stori aanze mpenzi wangu anayekaa kwenye nyumba kuukuu....
Kama mtu mpenzi wake anapunch gear kwanini asiandike? Au kama anaishi pazuri kwanini asiseme...