Wanawake wa JF mnanipa raha

Mayila Baba

Member
Joined
May 21, 2016
Posts
93
Reaction score
60
Story yoyote inayoletwa na mwanamke humu ndani, utakuta anatoa mazingira ya maisha safi, kama anakula hotelini, beach fulani hivi za kifahari.

Kwanini utoe mfano wa maisha ambao unatenga jamii kubwa ya watanzania hawana. Jikubali tu bana hata kama ni mama ntilie au unauza karanga barabarani sie tutawapenda tu.

Kubali hali yako.
 
Stori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi

Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Stori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi

Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
See...! Nan anaelewa hizo hannesy... Kwa nin usiseme konyagi, au mzinga ili tuelewe wote.....
 
Stori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi

Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
Kila mtu Jf anajifanya ni mrembo ana maisha mazuri,lakini nahisi kwa uhalisia sio wote wako hivyo ,wengi wao wanaishi maisha ya kuigiza...hawana lolote

Kwa hiyo nyie mlitaka mtu akiandika stori aanze mpenzi wangu anayekaa kwenye nyumba kuukuu....

Kama mtu mpenzi wake anapunch gear kwanini asiandike? Au kama anaishi pazuri kwanini asiseme...
 
Kweli kabisa... Anaish tandare, anauza vitumbua asubuhi, anapata hela ya vocha anakuja na story za ajabu humu... Nilienda kempisiky na boy fulan.. Braaa....braaaa...braaa
Be natural bana people tunaelewa vizur tu
 
Sio kila mtu mkuu...
Wengine ni pretenders... Kiuhalisia hawana yuma wala mbele..
 
Hahaha hahaha waachieni sie tunapata kufurahi tunapunguza stress
 
Kweli kabisa... Anaish tandare, anauza vitumbua asubuhi, anapata hela ya vocha anakuja na story za ajabu humu... Nilienda kempisiky na boy fulan.. Braaa....braaaa...braaa
Be natural bana people tunaelewa vizur tu
Sasa mkuu. Akiandika hayo shida inakuwa wapi? Maisha mepesi ila ukitaka kuyafanya yawe magumu lazima yawe tu.

Achana nao utakonda bureeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…