Wanawake wa JF mnanipa raha

Stori inataka ushauri juu ya mpenzi mlevi ila taandikwa hivi

Jamani naomba ushauri ,tukitokea vacation zanzibar mimi na mpenzi wangu ghafla ameanza tabia ya ulevi yaani jana kanywa chupa 3 za hennessy hata gari akashindwa kuendesha ......
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
nac
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hoka sasa yaan tuna visa sana sie wadada ....we niite alaf nipe uhuru wa kuagiza chochote uone mbwembwe zangu alaf nifuate nyuma nyuma ukajionee maajabu saba ya dunia jinsi nnavyokula embe ngongo nkalale....hahahaha jmn wadada msinipigee
 
Ohooo huo ukweli uliosema ujue, wadada wenzako sijui kama watakuelewa
 
Story nyingine bila mbwembwe hazinogi. ..acha tuongezee viungo, hata msomaji apate raha kama wewe.
 
Kwa hiyo nyie mlitaka mtu akiandika stori aanze mpenzi wangu anayekaa kwenye nyumba kuukuu....

Kama mtu mpenzi wake anapunch gear kwanini asiandike? Au kama anaishi pazuri kwanini asiseme...
Kwani Jf ni sehemu ya matangazo ya maisha ya mtu binafsi?wenye maisha mazuri siku zote hawajitangazi bali yanaonekana yenyewe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…