Wanawake wa JF tukutane hapa

Babe we si ushaolewa?? huyo atanifaa mimi nipatie ID
 
Kibend sidhani... sema kawa mbaya jamani enz zake alikua chombo daah
Mmh chunguza bwana nahisi kuna sehem nilikuta mtu alimpost huyo aliyempost akawa anajibishana na mtu kuwa mvumilie tu si unajua hali yake hii na kwake ni mwendo wa kupost tbt tuu
 
Mnavopiga huu umbea, halafu siambulii hata moja natamani kulia haki a nani..... Ehuuu ngoja nikae chini ya feni
Ahahahh yaan inauma ebu niambie tuanzie wapi sasa ili ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…