Wanawake wa JF tukutane hapa

 
Mmh chunguza bwana nahisi kuna sehem nilikuta mtu alimpost huyo aliyempost akawa anajibishana na mtu kuwa mvumilie tu si unajua hali yake hii na kwake ni mwendo wa kupost tbt tuu
Nimekuja PM kukutajia S jina lake lote naona kuna vitasa.. nahisi kunae S wawili hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…