Wanawake wa JF tukutane hapa

Huyo mtoto wa UD alikuwa na mashauzi jamani alivyoachwa acha atukanwe sana halaf nilijua HN angeolewa si kwa mashauzi yale
HN mpaka petw alipewa jamani.. mjini raha sana. Ade kaliuvamia mji kwa pupa na kanajikuta kaqueen hatari
 
Hata mimi maana full maushungi ila wanaume ni kiboko aisee, Ney naye akampokea mimi ningemtoa mbio ukiwa na hela huji ukifulia unarudi hapana
Mapenzi mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…