Sasa umeisha kili wewe ni bibi utamtunuku masalia...[emoji125][emoji125][emoji125]Nitumie wallah nakutunuku
Okaay nikajua ni mdada wa townHamumfaham ni wa shamba huko alikua akienda anajishindia
Yaan ataanza kunipa kazi ndio wana niniUtamchosha tu...
Naima kila mwanaume anamchorea tattooIla kale katoto nako kabayaaa... Naima alimchora tattoo mkononi kwa mahaba alokua nayo kwa yule mtoto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Oya jibu pm yangu kama huna bando sema nikutumie....
Hide my ID please
Demu wake wa sasa hivi si yule aliyezaa nae au wameshaachana tenaEheee,,halaf kuna demu alikua wa Aslay alidedi na ngoma,,na alikaa nae muda mrefu kweli
Umeona kademu kake ka sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiipata ukuje unipe mrejesho wa kunyumba[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ... maana sijaongea nae muda mrefu inabidi nitumie watu wengine nipate hii habari kwa mapana.
Teh teh[emoji3][emoji3] mrejesho muhimu
Eve una nini lakini!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo doctor nimemuelewa, sina tu frem ningeidownload niiprint....
Kuna jamaa humu dah story zake anavojisifiaga, anajionaga hb kuja kumuona jamani mmh kichwa kama embe!!!! Mbovuuuu
Aliyemwambukiza mwenzie nani sasa hapoHamumfaham ni wa shamba huko alikua akienda anajishindia
Halaf kama wamerudiana tena na naimaIla kale katoto nako kabayaaa... Naima alimchora tattoo mkononi kwa mahaba alokua nayo kwa yule mtoto
Eti ata mimi sielewi..! Hawajui kwa tajiri cha nini maskini nitakipata lini...Lengo ni nini hasa!
Auntie ninong'oneze hebuEve una nini lakini!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona kama nami namfahamu[emoji85] [emoji85]
Yaani nimecheka!
Yawezekana maana naona kama Naima kaachana na Manyika..Halaf kama wamerudiana tena na naima
Hahahaaa!! Auntie kwa umbea nimekushindwa. Unamfahamu vizuri auntie usinitanie kabisa.Auntie ninong'oneze hebu
Alivyotoka kwa manyika alienda kwa laizer wa wasafi katoka huko naona anajirudisha tena kwa aslayYawezekana maana naona kama Naima kaachana na Manyika..
Eheee kwani naima kaachana na Lizzer wa wasafi? Ila naima nae hajamboHalaf kama wamerudiana tena na naima
Jamaaani auntie,ujue kuhisi dhambi lakiniHahahaaa!! Auntie kwa umbea nimekushindwa. Unamfahamu vizuri auntie usinitanie kabisa.