Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Eheee,,halaf kuna demu alikua wa Aslay alidedi na ngoma,,na alikaa nae muda mrefu kweli
Umeona kademu kake ka sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Demu wake wa sasa hivi si yule aliyezaa nae au wameshaachana tena
 
Huyo doctor nimemuelewa, sina tu frem ningeidownload niiprint....

Kuna jamaa humu dah story zake anavojisifiaga, anajionaga hb kuja kumuona jamani mmh kichwa kama embe!!!! Mbovuuuu
Eve una nini lakini!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona kama nami namfahamu[emoji85] [emoji85]
Yaani nimecheka!
 
Back
Top Bottom