Wanawake wa JF tukutane hapa

M niliwahi kutana nae ila sio jf ...hakika yule kaka mzuri hadi kitandani yaan ni balaaa sana ...sema niliona jam anatongozwa ovyo ovyo tuu na wadada nkaamua kujikataa maan niliona ntapata pneumonia kwenye moyo
 
Hehehe wanawake hata mwanaume awe mbaya akiwa na pesa tu kosa
 
Ha ha ha ha atulie kidogo Naima na yeye lol, amuache aslay alee familia yake
Naima yule alikuwa ameolewa na mtoto wa boss wa kunyumba utakuwa unamjua saad yaan mwanaume alikuwa anampenda jaman ye kila kukicha kutembea na wanamuziki mara chaz baba anakuja nao kabisa pale tunaona usiku yule mdada kashindikana jaman
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…