Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Na mm jaman nataka kumjuaHahahaaa!! Auntie kwa umbea nimekushindwa. Unamfahamu vizuri auntie usinitanie kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mm jaman nataka kumjuaHahahaaa!! Auntie kwa umbea nimekushindwa. Unamfahamu vizuri auntie usinitanie kabisa.
Huyo Laizer simmanya..Alivyotoka kwa manyika alienda kwa laizer wa wasafi katoka huko naona anajirudisha tena kwa aslay
Kunyata ni nini etiSijawahi onana na mtu humu ..Ila mtaani wapo ka watatu hivi wananyata balaa
Wameachana naona hata kupostiana sioniEheee kwani naima kaachana na Lizzer wa wasafi? Ila naima nae hajambo
Producer wa wasafiHuyo Laizer simmanya..
Wanaogopa vumbiKunyata ni nini eti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wanaringaWanaogopa vumbi
Za kudownload hizo.Mama Sabrina unapenda HB wewe eti!!! Mi hawanivutiagi hata kiduchu wala kunisisimua, humu sijakutana na mtu yeyote ila kuna mkaka alituma pic yake pm ebana eh HB wa adabu
Ha ha ha ha atulie kidogo Naima na yeye lol, amuache aslay alee familia yakeWameachana naona hata kupostiana sioni
Wakunyumba ni kweli na nimeambiwa anajifungua wakati wowote na picha ya tumbo nimepewa..Ngoja niulizie ntapata habari
Yule demuAliyemwambukiza mwenzie nani sasa hapo
Naima alimpenda kiukweli yule mtoto basi tuHa ha ha ha atulie kidogo Naima na yeye lol, amuache aslay alee familia yake
Asikwambie mtu.. Ogopa mtu anaeogopa kukanyaga vumbi... Ila wazuri mpaka wanajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo wanaringa
Hehehe wanawake hata mwanaume awe mbaya akiwa na pesa tu kosaM niliwahi kutana nae ila sio jf ...hakika yule kaka mzuri hadi kitandani yaan ni balaaa sana ...sema niliona jam anatongozwa ovyo ovyo tuu na wadada nkaamua kujikataa maan niliona ntapata pneumonia kwenye moyo
Tenaa???Za kudownload hizo.
Kwanini waliachana? Naona Naima utulivu F nikifikiria list aliyonayo si haba anajitahidiNaima alimpenda kiukweli yule mtoto basi tu
Waliachana akaenda kwa yule kipa wa Simba wakaachana naona karudi tena.. Naima kajichokea yule maisha yake hatak stress kabisa..Kwanini waliachana? Naona Naima utulivu F nikifikiria list aliyonayo si haba anajitahidi
Naima yule alikuwa ameolewa na mtoto wa boss wa kunyumba utakuwa unamjua saad yaan mwanaume alikuwa anampenda jaman ye kila kukicha kutembea na wanamuziki mara chaz baba anakuja nao kabisa pale tunaona usiku yule mdada kashindikana jamanHa ha ha ha atulie kidogo Naima na yeye lol, amuache aslay alee familia yake
Mh auntieeeeee kwa story zilivokuwa sidhani km si yeyeZa kudownload hizo.