Wanawake wa JF tukutane hapa

Masikini usikute anaweza kumtuliza ila shoga akipenda huwa anabadili ubini nashangaa sasa hivi jina alijabadilishwa
Sasa si ndo maana nimeshangaa mbona shoga habadili jina Ig. Au kaka hapend drama za mitandao japo kuna picha kampost anamuwish happy birthday kaitafute
 
Ni bingwa wa kuigiza.. kuna siku niliwaona na CK jamani kajitanda ushungi utasema mwislam swafi. Nikamuuliza CK kwahiyo ndo unaoa hapa akasema huyu mwanamke katulia tofauti na wengine blah blah.. sijui walitibuana nini
Halaf CK alimnunulia nyumba ambayo ndio naima anayokaa ujue
 
Sasa si ndo maana nimeshangaa mbona shoga habadili jina Ig. Au kaka hapend drama za mitandao japo kuna picha kampost anamuwish happy birthday kaitafute
Mmh ipo mwanzoni hivii au kapost mwezi gani nikaangalie
 
Nilicheka tu nikamwambia hongera kaka maana hilo ni bomu umejivika jiandae litakulipukia dakika yoyote akasema eti we hujui tu katulia sana Naima.. sema hata Naima alimpendaga CK.
CK maskin alijua kumpa maisha sana Wema basi tu.

weekend iliyopita nilikua kwa Junaithar pale dukani kwake kinondoni alikua yupo na Lamar basi akaja Wema sijui ilikua Uber ile maana dereva alikua mwanaume then plate no nyeupe.

alivyoingia na mbwembwe mle ndani nikawa nawaona lamar na junaithar wanakonyezana tu

Nikasikitika moyoni nikajisemea alivyochezea hela wakati wa CK wema sio wa kutembelea Uber.
 
Hapana hajawahi mnunulia.. Naima anakaa Magomeni kapanga tena pa kawaida tu ndo alikua anakaa na Manyika...
Mmh mbona alihojiwa na shilawadu anakaa kwenye nyumba yake wakamuuliza ndio alikununulia ck enzi zake ipo kigamboni akasema hata manyika alikuwa anaishi nae hapo
 
Alichezea hela na mapenz.. Ck alimpenda yule mwanamke na ndo chanzo cha matatizo ya Ck
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…