Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Anakaa magomeni kile kipindi kabula zimeanza kuruka alikua anaishi nae hapo magomeni alipopangaMmh mbona alihojiwa na shilawadu anakaa kwenye nyumba yake wakamuuliza ndio alikununulia ck enzi zake ipo kigamboni akasema hata manyika alikuwa anaishi nae hapo