Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Mmh mbona alihojiwa na shilawadu anakaa kwenye nyumba yake wakamuuliza ndio alikununulia ck enzi zake ipo kigamboni akasema hata manyika alikuwa anaishi nae hapo
Anakaa magomeni kile kipindi kabula zimeanza kuruka alikua anaishi nae hapo magomeni alipopanga
 
CK maskin alijua kumpa maisha sana Wema basi tu.

weekend iliyopita nilikua kwa Junaithar pale dukani kwake kinondoni alikua yupo na Lamar basi akaja Wema sijui ilikua Uber ile maana dereva alikua mwanaume then plate no nyeupe.

alivyingia na mbwembwe mle ndani nikawa nawaona lamar na junaithar wanakonyezana tu wakonyezane

Nikasikitika moyoni nikajisemea alivyochezea hela wakati wa CK wema sio wa kutembelea Uber.
Wema hajijui waliomzunguka wote wanaojifanya dada zake mjini wote wanafki
 
Mmh mbona alihojiwa na shilawadu anakaa kwenye nyumba yake wakamuuliza ndio alikununulia ck enzi zake ipo kigamboni akasema hata manyika alikuwa anaishi nae hapo
Wakunyumba unakua kama hujui watoto wa mjini kwa uongo...anakaa hapo magomeni. Si unakumbuka hata wema alisemaga ile nyumba ya akachube ni yake kanunuliwa na Ck
 
Back
Top Bottom