hapa...hivi ana gari? na Ni aina gani?mi napenda swaggz zake tu za kichuga chuga... ila hajanivutia labda sababu nilikua namjua ni shemeji
Umeonaee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tubaki[emoji40]
Akuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwehu wewe kama nakuona yaan hili ni la moyoni ebu ukuje dada jaman
Hivi kuwa na gari ndio nini jamanTuanzie h
hapa...hivi ana gari? na Ni aina gani?
Anakaa kwao ana ana maisha yake?
tuje wasifu upstairs kichwani ana elimu gani?
Kwahiyo hutakiAkuuuu
Mie nashanga wakaka wanafanya nini??Mkuu huu uzi wa wadada ujue
Hapana nimepata nafuu tuuuu huwa napona kwako tuuu...Naona umepona homa
Unamjua bhanaKwahiyo hutaki
Kwani kuwasalimia kuna shidaMie nashanga wakaka wanafanya nini??
Yes muhimu awe na centeMmh unapenda sura za kina harmorapa?
Sio kwa maswali yale, wataka gundua niniHapana nimepata nafuu tuuuu huwa napona kwako tuuu...
nimetamani kujua wadada wengine kama huyo niliem quote huwa wanaridhika na lipi just for Discussion tuu....wewe ndo wa kuniponyesha ujue...
Endelea kuutafuna ubuyu kwanza.Bby nakucheck tu unamtafuta maneno Saint Ivuga
Unajua kuna kujadili uhalisia na kutamani uhalisia...naona wewe unatamani uhalisia kuwa wewe unapenda Aise na gari ingawa ukweli ni kuwa kwa nyakati hizi usafiri ni nyenzo ya kukufikisha mahali kwa haraka na uhakika na wakati...ndo maana nimependa kujua....Hivi kuwa na gari ndio nini jaman
mmh mi napenda mwanaume mzuri asee ila sio mrembo, hao wenye sura ngumu hapana mwanaume hadi umkamulie ndimu ndo upate apetite hapanaYes muhimu awe na cente
Hata sielewi mie halaf wanaingia kwa kutoa povuMie nashanga wakaka wanafanya nini??
Namjuaje bila kuniambia si ukuje unitajieUnamjua bhana
Me nikimpenda mtu nampenda kama yeye alivyo sijali ana gari au hana kikubwa ni mapenzi yake na ukweli tu sipendi ufake ujifanye tajiri siku niwe na shida yangu nikuombe unisaidie ukimbie njo wewe kama weweUnajua kuna kujadili uhalisia na kutamani uhalisia...naona wewe unatamani uhalisia kuwa wewe unapenda Aise na gari ingawa ukweli ni kuwa kwa nyakati hizi usafiri ni nyenzo ya kukufikisha mahali kwa haraka na uhakika na wakati...ndo maana nimependa kujua....
yale mapenzi ya eti hata kama hata kituu,sijui tutalalia muhogo,kwenye mkeka hayapo tusipotoshe umma.tuongelee uhalisia na sio hisia..
imekuelewa Rafiki...bora tuu asinijibu...asije kufika mahali fulani...Sio kwa maswali yale, wataka gundua nini
Kumbe ni wewe RRONDO sasa kwa nini alikuwa anakwepa kunitajia jaman