Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Tuanzie h
mi napenda swaggz zake tu za kichuga chuga... ila hajanivutia labda sababu nilikua namjua ni shemeji
hapa...hivi ana gari? na Ni aina gani?
Anakaa kwao ana ana maisha yake?
tuje wasifu upstairs kichwani ana elimu gani?
 
Naona umepona homa
Hapana nimepata nafuu tuuuu huwa napona kwako tuuu...
nimetamani kujua wadada wengine kama huyo niliem quote huwa wanaridhika na lipi just for Discussion tuu....wewe ndo wa kuniponyesha ujue...
 
Sio kwa maswali yale, wataka gundua nini
 
Hivi kuwa na gari ndio nini jaman
Unajua kuna kujadili uhalisia na kutamani uhalisia...naona wewe unatamani uhalisia kuwa wewe unapenda Aise na gari ingawa ukweli ni kuwa kwa nyakati hizi usafiri ni nyenzo ya kukufikisha mahali kwa haraka na uhakika na wakati...ndo maana nimependa kujua....
yale mapenzi ya eti hata kama hata kituu,sijui tutalalia muhogo,kwenye mkeka hayapo tusipotoshe umma.tuongelee uhalisia na sio hisia..
 
Me nikimpenda mtu nampenda kama yeye alivyo sijali ana gari au hana kikubwa ni mapenzi yake na ukweli tu sipendi ufake ujifanye tajiri siku niwe na shida yangu nikuombe unisaidie ukimbie njo wewe kama wewe
 
N
Sio kwa maswali yale, wataka gundua nini
imekuelewa Rafiki...bora tuu asinijibu...asije kufika mahali fulani...
ila ilikuwa ni kwa faida ya wasomaji wengine ambao wanatamani kuuliza maswali ila wanakosa moral...ila
nayaacha hapa hapa kwenye key board Furaha yangu Sakayo...
 
Back
Top Bottom