Wanawake wa JF tukutane hapa

Kwakwel wanakutana na changamoto sana ...shughuli inakuw kwako sasa unaishi bila amani
 
Tuna taste sawa, utakuta ana sura ngumu halafu sio smart yaani nilikua siwataki hata kidogo
Hahaa hao ndo wasimamia ad kucha unakuta Mdada mremboo kanasa pale ...machine
 
Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali

[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Nilikutana na mwanaume mmoj wa jf umu sitaj jina aseee ni handsome balaaa askwambie mtu ni mnene at kitamb ivi kapand hewan na ana kil kitu mpk Sasa nipo tunachunguzn kwakwel ni mzur uyu kaka jaman ni mchaga
 
Sema thuu nimtaje jina uyu kaka anaishi sinza Kama skosei mi nilimtolea nje [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilimwona ni playboy
 
Wanaume wamenywea kama nawaona wanavopita kwa kunyata [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…