Mr Makunduchi
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 995
- 492
Tatizo lenu mnachaguwa mabishoo unategemea nini njooo kwa mvutakamba uone kaziAhahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Jamaaanishoga wee nilikula ban ya siku 3hata kosa silijui mwenzako
yaan acha tu wamenionea sanaJamaaani
Pole mwaya....walikuonea eeh
Mzee kwa hiyo unanicheka
Usijaliyaan acha tu wamenionea sana
acha tu mpenzUsijali
Mungu anawaona
Karibu tena jukwaani mamyacha tu mpenz
asante dear nisalimie shunieKaribu tena jukwaani mamy
Ataitika mwayaasante dear nisalimie shunie
sawaAtaitika mwaya
Hahahaaa! Mimi mgumu siwezi kufanana na huyo hb. Duu! Lips tena kijana niliyekuzwa mkoani? Wewe si unajua ndugu yako nazeeka na ushamba wangu. Hayo mambo ya masharobaro mimi sina.hahaha alinishangaza sana huyu dogo aisee eti anajiita hb !ila kiukwel huyu kaka umefanana naye !biora umekuja aisee !sema wewe nahakika hulambi lips !una extra...............................!thinichape dadako!
Hahahaaa! Mimi mgumu siwezi kufanana na huyo hb. Duu! Lips tena kijana niliyekuzwa mkoani? Wewe si unajua ndugu yako nazeeka na ushamba wangu. Hayo mambo ya masharobaro mimi sina.
Ila na wewe sister uko njema. Ni basi tu shindano la ulimbwende limesimamishwa.
Nimekumiss zaidi da angu. Nani wa kuniiba jamani hadi nikusahau?ngoja niake kimya !nimekumiss !sijui wameniibia huyu mtu
This is one of his very current pictures.Hivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote
View attachment 623985View attachment 623986
Na mpenda.This is one of his very current pictures.
Thanks for the Tag mziguaNa mpenda.
🙁kibamia + bank account zero [emoji3][emoji3][emoji3]