Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Ahahahahah
Ukikuta wa hivi na kitandani yuko poa wachache sana,,wengi wao hovyo halaf kuringa sasa eheheh kama anamiliki mgodi kumbe anamiliki kibamia kitakatifu dakika moja chali
Tatizo lenu mnachaguwa mabishoo unategemea nini njooo kwa mvutakamba uone kazi
 
hahaha alinishangaza sana huyu dogo aisee eti anajiita hb !ila kiukwel huyu kaka umefanana naye !biora umekuja aisee !sema wewe nahakika hulambi lips !una extra...............................!thinichape dadako!
Hahahaaa! Mimi mgumu siwezi kufanana na huyo hb. Duu! Lips tena kijana niliyekuzwa mkoani? Wewe si unajua ndugu yako nazeeka na ushamba wangu. Hayo mambo ya masharobaro mimi sina.

Ila na wewe sister uko njema. Ni basi tu shindano la ulimbwende limesimamishwa.
 
Hahahaaa! Mimi mgumu siwezi kufanana na huyo hb. Duu! Lips tena kijana niliyekuzwa mkoani? Wewe si unajua ndugu yako nazeeka na ushamba wangu. Hayo mambo ya masharobaro mimi sina.

Ila na wewe sister uko njema. Ni basi tu shindano la ulimbwende limesimamishwa.


ngoja niake kimya !nimekumiss !sijui wameniibia huyu mtu
 
Ni pale mwenye baby wake anamkuta anajadiliwa namna hiii[emoji55]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote
View attachment 623985View attachment 623986
This is one of his very current pictures.
 
Back
Top Bottom