Eti wanaume wa JF hakuna anayemfikia katika hiyo picha kwa uhandsome😛😛Uzi unasemaje kwani?
Hahaha
Nawafahamu kama watatu hivi, ni member humu na ni mahb hatari na wanajielewa sana. Huyo mmoja yuko kama mwarabu hivi, jamani kaka ni handsome huyo!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Acha basi kurusha picha zako hizi,,we huoni uzi unataka niniNaikumbuka sana harusi yenu... mlitokelezea poa na HB wako
Aaah napenda kuwa na shemeji shombe shombe so nahc ndoto yangu itatimia taraaaa nitapata shemejiHapo naona CV inazidi kuimarika.
Sasa kwa nini ninyi mtake shombe shombe ilihali mnayoyatarajia yanataka ubinifu wa hali ya juu.
Oya jibu pm yangu kama huna bando sema nikutumie....Nawafahamu kama watatu hivi, ni member humu na ni mahb hatari na wanajielewa sana. Huyo mmoja yuko kama mwarabu hivi, jamani kaka ni handsome huyo!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Acha basi kurusha picha zako hizi,,we huoni uzi unataka nini
Aaah napenda kuwa na shemeji shombe shombe so nahc ndoto yangu itatimia taraaaa nitapata shemeji
Babu huko pia kuna mvua
Imekunya ya kufa mtu. Leo ni mwendo wa nyagi tu.Babu huko pia kuna mvua
Loooh akaaaaaaShemeji yako shombe huyu hapa...
Loooh akaaaaaa
Usijali, bahati yako ipo hamna wa kuizuiaAaah napenda kuwa na shemeji shombe shombe so nahc ndoto yangu itatimia taraaaa nitapata shemeji
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huhuhuhuuu kama namjua vileeee[emoji23] [emoji23]Huyo doctor nimemuelewa, sina tu frem ningeidownload niiprint....
Kuna jamaa humu dah story zake anavojisifiaga, anajionaga hb kuja kumuona jamani mmh kichwa kama embe!!!! Mbovuuuu
Huyo doctor nimemuelewa, sina tu frem ningeidownload niiprint....
Kuna jamaa humu dah story zake anavojisifiaga, anajionaga hb kuja kumuona jamani mmh kichwa kama embe!!!! Mbovuuuu