Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Nawafahamu kama watatu hivi, ni member humu na ni mahb hatari na wanajielewa sana. Huyo mmoja yuko kama mwarabu hivi, jamani kaka ni handsome huyo!! [emoji85] [emoji85] [emoji85]

Nawajua, si hawa hapa?
images
 
Hapo naona CV inazidi kuimarika.

Sasa kwa nini ninyi mtake shombe shombe ilihali mnayoyatarajia yanataka ubinifu wa hali ya juu.
Aaah napenda kuwa na shemeji shombe shombe so nahc ndoto yangu itatimia taraaaa nitapata shemeji
 
Back
Top Bottom