Itakuwa vyema tuWewe unataka kupata mimba ya bahati mbaya. Shauri yako, utateleza umuangukie.
Espy na mzigua ni watu muhimu mpaka sasaUsinisahau
Dada fulani alikuaga kwenye video moja ya Prof nimeisahau jina... ana shape kama kachorwaEx wake nani huyo?
kumbe mtu akitaka kwenda china inabidi atafute wa kuenda naye ila sasa passport itakuwa kazi kutafutaHuyo sio mzembe mzembe mkuu... huyo ex gf wake alikua kisu hatarii yani kummliki mtoto kama yule ilikua sio jambo dogo sema wajanja wakamuwahi wakampeleka demu China
Profesa j?hebu niambie nyimbo ipi nikamuoneDada fulani alikuaga kwenye video moja ya Prof nimeisahau jina... ana shape kama kachorwa
Hatutakiwi kuwapotezaaaEspy na mzigua ni watu muhimu mpaka sasa
Wataje basi tukusaidieniliowahi kuonana nao wote wamemzidi huyo na shavu lake.
Mi nmependa mwonekano, kafanana sana na.... Koh koh kohmi napenda swaggz zake tu za kichuga chuga... ila hajanivutia labda sababu nilikua namjua ni shemeji
Hamna huyo dada alikua anasoma chuo huku akazingua akapata bwana fulani maarufu sana kupelekaa warembo China basi bidada akajua ndo atakua mke akaenda China akakaa kama miezi sita akarudi yule bwana wa China akamuacha na huyo kaka akamuacha pia maskini. Sasa hivi yupo tu wamemkula mkula wanaume wa Dar wamemwacha..kumbe mtu akitaka kwenda china inabidi atafute wa kuenda naye ila sasa passport itakuwa kazi kutafuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Espy na mzigua ni watu muhimu mpaka sasa
Hujui unawanyima fursa watu,taja banaMi nmependa mwonekano, kafanana sana na.... Koh koh koh
Ivi mwanaume unapoambiwa na mwanamke yo a kynda cute n not handsome apa mwanamke anamaansha nn eti...nisaidie kwa ili kwanzaHivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote
View attachment 623985View attachment 623986
Ngoja niikumbukeProfesa j?hebu niambie nyimbo ipi nikamuone
Hamna huyo dada alikua anasoma chuo huku akazingua akapata bwana fulani maarufu sana kupelekaa warembo China basi bidada akajua ndo atakua mke akaenda China akakaa kama miezi sita akarudi yule bwana wa China akamuacha na huyo kaka akamuacha pia maskini. Sasa hivi yupo tu wamemkula mkula wanaume wa Dar wamemwacha..
Andika basi vizuriIvi mwanaume unapoambiwa na mwanamke yo a kynda cute n not handsome apa mwanamke anamaansha nn eti...nisaidie kwa ili kwanza
Nani huyo mtaje basi tukamuoneHamna huyo dada alikua anasoma chuo huku akazingua akapata bwana fulani maarufu sana kupelekaa warembo China basi bidada akajua ndo atakua mke akaenda China akakaa kama miezi sita akarudi yule bwana wa China akamuacha na huyo kaka akamuacha pia maskini. Sasa hivi yupo tu wamemkula mkula wanaume wa Dar wamemwacha..