Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

kumbe mtu akitaka kwenda china inabidi atafute wa kuenda naye ila sasa passport itakuwa kazi kutafuta
Hamna huyo dada alikua anasoma chuo huku akazingua akapata bwana fulani maarufu sana kupelekaa warembo China basi bidada akajua ndo atakua mke akaenda China akakaa kama miezi sita akarudi yule bwana wa China akamuacha na huyo kaka akamuacha pia maskini. Sasa hivi yupo tu wamemkula mkula wanaume wa Dar wamemwacha..
 
Hivi kuna mwanamke humu ashakutana na mwanaume wa jf yuko hivi au anafanana hata kidogo ,au hata kumfikia huyu kaka ,,tuseme tu ukweli maana vidume vya humu kwa kujiona[emoji23][emoji23]havijambo
Tuseme tu ukweli wala tusifichane na msitaje id zao,,huyu mkaka ni Mtz kabisa anajiita dokta ulimwengu sasa sijajua kama ni mwanaume mashine ama la,,na nahisi muda si mrefu atawahiwa na kina wolper[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],mi huwa nikikutana na wa hivi lazima nigeuke kusafisha macho ,,mim sijawah kukutana na mwanaume wa jf,so semeni nyie [emoji23][emoji23] ,nje ya jf zamani kabla sijawa bibi niliwah kukutana na wawili kama huyu sasa wana vibamia vilivyotukuka Mungu hakupi vyote
View attachment 623985View attachment 623986
Ivi mwanaume unapoambiwa na mwanamke yo a kynda cute n not handsome apa mwanamke anamaansha nn eti...nisaidie kwa ili kwanza
 
duh
Hamna huyo dada alikua anasoma chuo huku akazingua akapata bwana fulani maarufu sana kupelekaa warembo China basi bidada akajua ndo atakua mke akaenda China akakaa kama miezi sita akarudi yule bwana wa China akamuacha na huyo kaka akamuacha pia maskini. Sasa hivi yupo tu wamemkula mkula wanaume wa Dar wamemwacha..
 
Hamna huyo dada alikua anasoma chuo huku akazingua akapata bwana fulani maarufu sana kupelekaa warembo China basi bidada akajua ndo atakua mke akaenda China akakaa kama miezi sita akarudi yule bwana wa China akamuacha na huyo kaka akamuacha pia maskini. Sasa hivi yupo tu wamemkula mkula wanaume wa Dar wamemwacha..
Nani huyo mtaje basi tukamuone
 
Back
Top Bottom