Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Hilo la ugonjwa mwenyewe nimelisikia mdaa ila M kujipa mpaka ubini wa mwanaume kawaje mpole sasa mwanaume sio ndg yako na huko china kwao kulivyo kwa unafki ni kusemana tu kuanzia donfang kuendelea
Si kwa hizo code jamani
 
Sidhani coz sikumuomba wala hatukuwa ktk maongezi ya kiutu uzima ye alidhani mimi ni mtusi kutokana na pic niloiweka hapo, alinambia baba yake mtusi mama ni chotara wa kisomali na mzungu, mkaka ametanuka yaani umbo km la Mr flavour sura sasa lips aloooo macho afu kitu chocolate
Ayaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
R kafulia nae, na akifulia ndo anajifanyaga anampenda Ney... yule nae kawatafuna jamani daaah..
R, N aliemuoa S na yule Kapusi ni maarufu sana kwa kupenda kote kote na wamejua kuwachafua wadada wa mjini halafu utafikiri wanaambizana
 
Back
Top Bottom