Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Anatuona wakazi wa kino wajinga tutampa kuraEti mbunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anatuona wakazi wa kino wajinga tutampa kuraEti mbunge
Ade.. K yupi tena?????Nani huyo ade? Au K? Maana K aliachwa kwa aibu mnooo....
Ujue nilijua atakuja kuolewaK huyo, ila aliniudhi sana K kwenda kwa R yaani na uzuri wote ule dooh akaenda kujichoresha pale
Bahati ee,,sasa ney anampenda mno rummy loNa yule demu wake wa mwisho kabla hajarudi kwa Ney nilijua atamuoa
Kwa ninavyokujua dada hao watu huwajui kabisa ujue ahahhhNipe ubuyu hebu
HN mpaka petw alipewa jamani.. mjini raha sana. Ade kaliuvamia mji kwa pupa na kanajikuta kaqueen hatariHuyo mtoto wa UD alikuwa na mashauzi jamani alivyoachwa acha atukanwe sana halaf nilijua HN angeolewa si kwa mashauzi yale
Kika....alikua anaekewa hashtag kiboko yanguAde.. K yupi tena?????
Nahisi ila sina uhakika kutokana na vitu vitu ninavyoonaEeeeeeewaaaaaa... ko ye ndo ana mimba wanyumbani???
Soma vizuri nimeanza kufungua codeHa ha ha usife bana fatilia tu umbea
Pesa zimeisha yupo tu analea familia yake na NeyNqkumbukaa huyu kaka enzi zake kwa sinta kila mtu anamtaka,,,hivi bado ana pesa kama zamani naona kamrudia Ney na mahaba moto motoo,,yale magari bado yapo?naona anaimba bongofleva siku hizi pesa hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata mimi maana full maushungi ila wanaume ni kiboko aisee, Ney naye akampokea mimi ningemtoa mbio ukiwa na hela huji ukifulia unarudi hapanaUjue nilijua atakuja kuolewa
Amber lulu yule hivi na ile ya masogange si huyu huyu alivujishaHivi kipindi ile video inavuja yule binti anacheza mziki room kwa Rummy ndio amber lulu ee?
AhahahhhAnatuona wakazi wa kino wajinga tutampa kura
Kiboko yake alikua HNAlikuwa anamuita kibokobyangu sio ade
K ndo HNAde.. K yupi tena?????
Ndio huyo aneyemsemea ringsonKiboko yake alikua HN
Kumbe cheusi vile loo,,halaf alikuaga demu wa aslay kipindi hcho na ngoma aliyokuwa akicheza ni ya aslayAmber lulu yule hivi na ile ya masogange si huyu huyu alivujisha
Mapenzi mamaHata mimi maana full maushungi ila wanaume ni kiboko aisee, Ney naye akampokea mimi ningemtoa mbio ukiwa na hela huji ukifulia unarudi hapana
Ndo Amber Lulu eehHivi kipindi ile video inavuja yule binti anacheza mziki room kwa Rummy ndio amber lulu ee?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa ninavyokujua dada hao watu huwajui kabisa ujue ahahhh