Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

Mie naona wanawake ifikie wakati,tuwaheshimu wanaume mana kama unamkuta yuko kibamia unakuja kutangaza sioni kama inapendeza,mtazamo lakini,iwapo hajakuridhisha basi hachana nae tafta mwingine.sorry japo sjawai kutana na mwanaume wa jf,na sina mpango .
 
nirushie moja wangu !nisafishe macho !sina namna !sasa humu kuna hb mmoja 'namuhifazi' andika yake tu unajua huyu anajitambua !ahhahah uwiii
Naona unanizungumzia mtt mzuri[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Back
Top Bottom