Wanawake wa JF tukutane hapa

Wanawake wa JF tukutane hapa

ah doctaaaa,tulikua pamoja hapo hall 1 na rafiki yako jovin,mmeishia wapi na tuzo zenu z Achievers Awards... na lile jidada ulikua unafyatua ilikua an boonnngee ya chura
 
bro ni MTT was kishua alafu ana akili sana ya marketing, mameneja wa young d,Ni future millionaire
 
Shemeji jamani mbona hivyo!! Anhaaa nini sasa?
UMEKUTANA na memba wangapi wa hili jukwaa. Maana kukutana na watanadhati watatu ilikuwa ni katika kukutana na idadi fulani ya memba.

Lengo ni ili wenzako wawe na mazoea ya kukutana na memba ili waweze nao kubahatika.
 
Kwahyo napo camera ndio imekuchanganya ama kitumbua gani...

Naona upo kumpigia chapuo jamaa...
 
Back
Top Bottom