Ha ha ha KK bana hata mie nakupenda ujue toka umebadilisha msimamo
Huwa nashawishika kusema wanawake wa JF huko mnakoishi ni mabingwa kwani maskil mnayopata humu yanawasaidia ku run life kwani uhisi hamuwezi kudanganywa na mtu yeyote yule kuhusu swala la mahusiano!! Nazaidi kutokana na maujanja mnayopata humu mnajua shughuli si kitoto!!Hilo mimi ninalitambua!!Ila niuwezo sina ningetamani niwaoe wote niwe kama King Mswatti!Emungu bariki!!
Ngoja ni nisafishe inbox yangu ili pm zisije zikastaki!!
Bila mabinti kutakalika kweliKK kwa mabinti.,,,kama kipara kwa shaolin..!!
Hee? uko unakoelekea hataaaaa, yan mfano wa mswati umenitoa kijasho.Huwa nashawishika kusema wanawake wa JF huko mnakoishi ni mabingwa kwani maskil mnayopata humu yanawasaidia ku run life kwani uhisi hamuwezi kudanganywa na mtu yeyote yule kuhusu swala la mahusiano!! Nazaidi kutokana na maujanja mnayopata humu mnajua shughuli si kitoto!!Hilo mimi ninalitambua!!Ila niuwezo sina ningetamani niwaoe wote niwe kama King Mswatti!Emungu bariki!!
Atawaweza na kuwatimizia wote?Hee? uko unakoelekea hataaaaa, yan mfano wa mswati umenitoa kijasho.